Friday, September 14, 2012

Mbio za mwenge zaingia wilayani Kigoma






Kongozi wa mbio za mwenge Captain Honest Ernest Mwanossa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Bitale mara baada ya kufungua maabara ya shule ya sekondari ya Bitale na pia kuzindua klabu ya wapinga rushwa shuleni hapo

Hapa Kiongozi wa mbio za mwenge akiangalia vifaa vya kisasa vya maabara katika shule hiyo

No comments: