HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)
Friday, November 9, 2012
Darasa: Jifunze kufunga tai
Tai ni vazi linalomfanya mtu aonekane nadhifu sana. Wengi wetu hatujui namna ya ufungaji wa tai na si ajabu kumkuta mtu anapeleka tai kwa jirani ili asaidiwe namna ya kuifunga.
Asante kwa wavuti.com
No comments:
Post a Comment