Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla Mazishi.Sharo amefariki baada ya kupata ajali ya gari juzi
Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkonona Msanii wa filamu JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
Asante kwa mjengwablog
No comments:
Post a Comment