IDDY ALLUTE
HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)
Thursday, March 14, 2013
Watoto wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Katubuka wasaidiwa
Baadhi ya vijana wasamaria wema wa Mkoa wa Kigoma wakishusha sehemu ya msaada wao waliotoa katika kusaidia kitengo cha watoto wenye mtindio wa ubongo wa shule ya msingi Katubuka
Mzigo mzito lakini utafika tu!!
Watoto wakifurahia baadhi ya zawadi walizo zawadiwa
Picha ya pamoja na baadhi ya watoto wenye taahira ya akili na mtindio wa ubongo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment