IDDY ALLUTE
HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)
Thursday, April 25, 2013
Kikao cha Baraza la Madiwani Biharamulo leo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo (DED) Bw Nasibu Mmbaga akifafanua jambo katika kikao cha Baraza la madiwani la Halmashauri ya Biharamulo leo, kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hiyo
Kaimu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo ambaye pia ni diwani wa kata ya Kalenge Mhe Laurent Kakuru akiwasilisha hoja mbalimbali katika kikao hicho
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment