IDDY ALLUTE
HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)
Wednesday, April 10, 2013
MHE Lowassa atoa Tsh Millioni 5 kwa Baraza la Misikiti Tanzania
Waziri Mkuu mstaafu Mhe Edward Lowassa akikabidhi kiasi cha Tsh Millioni Tano alichokitoa kwa Baraza la Misikiti Tanzania kwa ajili ya kusaidia mpango wa Baraza hilo wa kupunguza maambukizi ya UKIMWI na kudhibiti mimba kabla ya ndoa.
Mhe Lowassa akiongea na ujumbe wa BAMITA Alhaji Salum Sung'he na Sheikh Juma Swalehe
Sheikh SALUM SUNG'HE akimkabidhi barua ya shukrani Mhe Lowassa
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment