IDDY ALLUTE
HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)
Thursday, August 1, 2013
Utamaduni....!!!
Chungu hiki kilikutwa katikati ya barabara eneo la Maweni katika manispaa ya Kigoma/Ujiji ndani yake kikiwa na aina mbalimbali za mimea. Jamii nyingi zimekuwa zimekuwa zikitumia njia hii kama tiba ya asili ingawa kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ni nadra sana kukuta vitu kama hivi
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment