Moja ya majengo ya kisasa yanayobadili taswira ya mkoa wa Kigoma kimaendeleo. Jengo hili ni la Shirika la , Nyumba Tanzania, mjini Kigoma, barabar Kuu ya kwenda nje ya mji huo kutoka eneo la Stesheni Kuu ya reli
Wachuuzi wa vitunguu na mazao mengine katika Kijiji cha Bugaga, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakishindana kukimbilia wateja, waliokuwa wanapita na magari katika kijiji hicho, juzi.
Usafiri wa reli bado ndiyo usafiri unaotegemewa sana kutoka mkoani Kigoma kwenda mikoa mingine na baadhi ya maeneo ya pembezoni mwa mkoa. Pichani, abiria waliokuwa wakitaka kusafiri kwa treni jana kutoka stesheni kuu ya reli mkoani humo wakiwa katika foleni ya kukata tiketi.
Ujasiriamali muhimu: Kina mama wakiwa katika biashara ndogo ndogo mjini Kigoma.
Picha kwa ( KWA HISANI YA DAILY NKOROMO BLOG)
No comments:
Post a Comment