Saturday, August 18, 2012

Mpambano mkali, Polisi Kigoma VsJKT Burombola. Wadada wa Polisi Kigoma walishinda pambano hili na kujinyakulia kombe na zawadi mbaalimbali ikiwamo fedha taslimu Tsh Milioni moja




No comments: