Saturday, August 18, 2012

Timu ya mpira wa pete ya akina dada wa JKT Burombola wakiwa katika mapumziko, baada ya mchuano mkali na wenzao wa Polisi Kigoma. Ni katika michuano ya kombe la Polisi jamii, maarufu kama KASHAI CUP iliyomalizika leo tarehe 18.08.2012 katika viwanja vya Lake Tanganyika


No comments: