Washiriki wa Mfuko wa PSPF katika banda la nane nane viwanja vya Nzuguni Dodoma. Kutoka kushoto ni William Njokha, Upendo Mmari, Andrew Dayson, Joseph Lyimo, Rahim Hashim, Hawa Kikeke na Hamidu Ngororo
Afisa Mwandamizi Idara ya Mifumo ya Mawasiliano ya PSPF Ndugu Andrew Dayson akitoa maelezo jinsi Mifumo hiyo inavyorahisisha utendaji wa Mfuko kwa ujumla.
Afisa Uendeshaji Bi Upendo Mmari kitengo cha Michango na Usajili kwa wanachama akihakiki michango ya mwanachama wa Mfuko
Afisa Uendeshaji wa Ofisi ya PSPF mkoa wa Dodoma Bi. Kahenga Maulidi akitoa maelezo kuhusu usajili kwa mwanachama wa MfukoAfisa Uwekezaji wa Mfuko wa PSPF Hamidu Ngororo akitoa maelezo kuhusu miradi ya Nyumba zinazojengwa na Mfuko
No comments:
Post a Comment