IDDY ALLUTE

HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)


Friday, March 1, 2013

Kampeni za lala salama, uchaguzi Kenya

Kutoka kushoto:Uhuru Kenyatta na William Ruto wakiteta Jambo katika kampeni zao za mwisho za uchaguzi ujao wa Kenya ,utakaofanyika jumatatu tarehe 4/3/2013 ,walitembelea mitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay nchiniKenya ,wao wakiwakilisha kundi la JUBILEE.Uhuru Kenyatta(gari la bluu)  na William Ruto (gari jekundu) wakiwa katika magari ya wazi katika kampeni zao za mwisho za uchaguzi
Posted by Unknown at 9:33 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA REDIO ZA BONGO HAPA

FREE ONLINE STREAMING RADIO
Listen to Bongo Radio
Bongo Radio
Listen to Radio Mbao - Columbus, TX
Radio Mbao
Listen to Radio One 89.5 - FM 89.5 - Dar es Salaam
Radio One 89.5

Grab widget | Radio stations
Free Live Radio Stations
FREE LIVE RADIO ONLINE
Listen to Kaya FM - FM 95.9 - Johannesburg
Kaya FM
Listen to SoukousRadio - Tampa, FL
SoukousRadio
Listen to Sud FM - FM 98.5 - Dakar
Sud FM

Grab radio widget | More radio
Free Live Radio Stations
-->

MWANAHARAKATI KUTOKA KIGOMA

Unknown
View my complete profile

Popular Posts

  • Ufundi wa kutengeneza mafuta ya mawese
    Matunda"ngazi" yakichemshwa ili kuyalainisha Baada ya ngazi kuiva, hapa shughuli ya kukamua inafanyika Hapa mawese yana...
  • Urais Kenya-Raila aungana na Kalonzo
    Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, kupitia chama chake ODM wametia saini makubaliano ya kuunda muungano wa kisiasa na Makamo wa Rais Kalo...
  • NEC ya CCM jana katika picha
    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya jana ka...

HABARI ZILIZO PITA

TAFUTA

WATAZAMAJI WA BLOG HII MPAKA SASA

Blog mbalimbali

  • BBCSwahili.com | Mwanzo
    Ujumbe wa Khamenei kwa mataifa ya Ghuba: Tunachofahamu kuhusu afya yake - Tangu ateuliwe kuwa Kiongozi Mkuu, hajajitokeza hadharani, na mamlaka za Iran hazijachapisha picha, sauti au video yoyote inayomhusisha.
    4 hours ago
  • MICHUZI
    MABARAZA YA USHINDANI,MASOKO YA MITAJI KUIMARISHA USHIRIKIANO - Baraza la Masoko ya Mitaji linatarajia kuimarisha ushirikiano kwa kubadilishana uzoefu katika usimamizi wa kesi, utatuzi wa migogoro na matumizi ya tekno...
    4 hours ago
  • Sports Lady
    STSRS,ZAMBIA ZAGAWANA POINTI AFCON - TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo imelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataif...
    2 years ago
  • Wavuti - Habari
    -
  • Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
    -
Iddyalute 2012. Simple theme. Powered by Blogger.