![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxV367UciCUd5lTwq9IbIeWSLzff6qV9e3DCU-2k2h1tFlUuz6oTGrnbg0R8Og6aD2pZ4F1gjGoNXDK8YF_0DrTTqfvPb1dY05_48ix7ORM5jOwjnUSo-OzC5QiVtQGMiea22Ve8-k1uc/s640/CH.jpg)
Gazeti la chama tawala cha china, People’s Daily ambalo
limezoea kuwa kitovu cha kusambaza habari, sasa limejikuta likiwa
habari baada ya watu wenye fikra za kitukutu kuona jengo jipya la gazeti
hilo limefanana na nyeti za kiume.
Jengo hilo lenye urefu wa mita 150,
hivi sasa bado linaendelea kujengwa jijini Beijing. Kutokana na muundo
huo usiokua wa kawaida, picha za kibunifu zikaanza kuibuka katika
website ambayo ni kama “Twitter ya China,” inayoitwa Sina Weibo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtu8KBCy19ytVkbqJCt_pw-9Ob0PLiqI9O6kdRf8f4jMNno0gh2zy3RGz_XWjTRdcNGuImsOC4SR7ZU7tZTK297ASndf13Qc0kw6h2iSctnwlXP-r3HFg6JG3kwgdqyaS3CI_S6nZ95RA/s640/CH1.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGD56NOGNo-hGYeWAt1hYp55ft6F8xF0OVXPnTp2YQAXKJTIi_PTtbrlaRQ3fFCmY782B2yc9XOZu0poGAXyY0_KT6sGftlcEsqok6rG-CdW8qIwXS35bkgJzZKod3YOqXSrarbXT7kpI/s640/CH2.jpg)
Kwa sasa Wachina wakitafuta jengo hilo, wanakutana na ujumbe“kuendana na sheria, kanuni na sera husika, matokeo ya utafutaji wako (search results) hayawezi kuonyeshwa."
Mwandishi wa Reuters, Anita Li amesema “hii
inaonyesha frustrations miongoni mwa vijana watumiaji wa internet
nchini China, na pia inaonyesha ni kiasi gani “wakubwa” wako sensitive
kwa hata vitu vidogo vya kipuuzi online.”
No comments:
Post a Comment