IDDY ALLUTE

HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)


Wednesday, June 19, 2013

Ajira ya watoto katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji

Zikiwa zimepita siku tatu tu baada ya maadhimisho ya siku ya watoto Afrika, watoto hawa wamekutwa na kamera yetu jirani na baa ya Website katika mtaa wa Mjimwema Manispaa ya Kigoma/Ujiji wakiokota na kukusanya bidhaa za vyuma chakavu kwa ajili ya kuviuza. Siku ya mtoto wa Afrika huadhimishwa tarehe 16.06 kila mwaka
Posted by Unknown at 8:31 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA REDIO ZA BONGO HAPA

FREE ONLINE STREAMING RADIO
Listen to Bongo Radio
Bongo Radio
Listen to Radio Mbao - Columbus, TX
Radio Mbao
Listen to Radio One 89.5 - FM 89.5 - Dar es Salaam
Radio One 89.5

Grab widget | Radio stations
Free Live Radio Stations
FREE LIVE RADIO ONLINE
Listen to Kaya FM - FM 95.9 - Johannesburg
Kaya FM
Listen to SoukousRadio - Tampa, FL
SoukousRadio
Listen to Sud FM - FM 98.5 - Dakar
Sud FM

Grab radio widget | More radio
Free Live Radio Stations
-->

MWANAHARAKATI KUTOKA KIGOMA

Unknown
View my complete profile

Popular Posts

  • Bonanza la michezo la chuo cha Hali ya Hewa Kigoma
    Huyu ndiye mshindi wa shindano la kukuna nazi Chuo cha Hali ya Hewa(MET) Kigoma, leo kimefanya bonanza la michezo kwa wanachuo...
  • Ufundi wa kutengeneza mafuta ya mawese
    Matunda"ngazi" yakichemshwa ili kuyalainisha Baada ya ngazi kuiva, hapa shughuli ya kukamua inafanyika Hapa mawese yana...

HABARI ZILIZO PITA

TAFUTA

WATAZAMAJI WA BLOG HII MPAKA SASA

Blog mbalimbali

  • MICHUZI
    WANACHAMA TUGHE ZAIDI YA 800 WAFANYA UTALII KWA NDANI KUTEMBELEA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO - Wanachama wa TUGHE Zaidi ya 800 wamefanya utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro siku ya Alhamisi tarehe 18 Septemba 2025 kwa...
    24 minutes ago
  • BBCSwahili.com | Mwanzo
    Je, Kwanini hatukumbuki maisha yetu tukiwa watoto wachanga? - Wanasayansi wamebuni nadharia mbalimbali ili kujaribu kuelewa kwa nini watu hawawezi kukumbuka miaka yao ya mapema ya maisha. Je! watoto hufanya kumbukumbu...
    3 hours ago
  • Sports Lady
    STSRS,ZAMBIA ZAGAWANA POINTI AFCON - TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo imelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataif...
    1 year ago
  • Wavuti - Habari
    -
  • Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
    -
Iddyalute 2012. Simple theme. Powered by Blogger.