IDDY ALLUTE

HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)


Wednesday, June 19, 2013

Tembelea Kaole Bagamoyo uone mengi

Watalii wa ndani wakitazama Qibla ya msikiti wa kwanza katika ukanda wa Afrika ya mashariki na KatiHili ndilo kaburi la wapendanaoHiki ni kisima cha ajabu. Maji yake hayapungui wala kuongezeka miaka nenda miaka rudi. Inasadikiwa kuwa yeyote anayekunywa maji haya au atakayenawa kwa kutumia maji ya kisima hiki, anapata baraka na huwa amejiepusha na nuksi mbalimbali katika maisha yakeMti huu wa mbuyu ulikuwepo tangu karne ya 15. Karne ya 15 ni miaka 600 iliyopita

Shukrani kwa mdau wa blog hii Mr Ngoma kwa kutupatia picha na maelezo
Posted by Unknown at 7:32 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA REDIO ZA BONGO HAPA

FREE ONLINE STREAMING RADIO
Listen to Bongo Radio
Bongo Radio
Listen to Radio Mbao - Columbus, TX
Radio Mbao
Listen to Radio One 89.5 - FM 89.5 - Dar es Salaam
Radio One 89.5

Grab widget | Radio stations
Free Live Radio Stations
FREE LIVE RADIO ONLINE
Listen to Kaya FM - FM 95.9 - Johannesburg
Kaya FM
Listen to SoukousRadio - Tampa, FL
SoukousRadio
Listen to Sud FM - FM 98.5 - Dakar
Sud FM

Grab radio widget | More radio
Free Live Radio Stations
-->

MWANAHARAKATI KUTOKA KIGOMA

Unknown
View my complete profile

Popular Posts

  • Kijijini Kazuramimba-Uvinza
    Wanakijiji wa kijiji cha Kazuramimba wilayani Uvinza wakifanya biashara ya vyakula mbalimbali ikiwamo miwa, nyanya, maharage na mihogo kwa...
  • Wakazi wa wilaya ya Misenyi mkoani Kagera wakitoa mchango wao mbele ya wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba. Hapa bi Scola anaonekana akitoa mawazo yake
  • Mandela bado amelazwa hospitalini
    Rais wa zamani wa Afrika kusini Nelson Mandela anasalia hospitalini kwa siku ya tatu baada ya kupata maradhi ya mapafu kwa mara nyingine te...

HABARI ZILIZO PITA

TAFUTA

WATAZAMAJI WA BLOG HII MPAKA SASA

Blog mbalimbali

  • BBCSwahili.com | Mwanzo
    Dira Ya Dunia - Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
    4 hours ago
  • MICHUZI
    LHRC yafungua kesi EACJ kupinga kuzimwa kwa mtandao nchini - Na Pamela Mollel,Arusha Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua Kesi Na. 56/2025 katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kikilalamikia h...
    16 hours ago
  • Sports Lady
    STSRS,ZAMBIA ZAGAWANA POINTI AFCON - TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo imelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataif...
    1 year ago
  • Wavuti - Habari
    -
  • Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
    -
Iddyalute 2012. Simple theme. Powered by Blogger.