Sunday, July 15, 2012

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA KUTOA ELIMU YA SHERIA KIGOMA




























 Afisa Sheria wa Tume Mercy Mrutu akimuonesha Ripoti Katibu Tawala Msaidizi wa mkoa wa Kigoma.
Picha ya juu: 
 Afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mercy Mrutu akimkabidhi Katibu Tawala Tawala Msaidizi wa mkoa wa Kigoma Bw. Antony Jakanyango Ripoti mbalimbali zilizofanyiwa kazi na Tume. Kulia ni Afisa Sheria wa Tume Angela Shekifu.Maafisa wa Tume kwa sasa wako mkoani Kigoma kwa ajili ya kutoa Elimu ya Sheria kwa Umma mkoani humo katika Wilaya ya Kigoma ikiwa ni moja ya majukumu ya Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika kazi zake.  Picha na Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume

No comments: