Wednesday, July 11, 2012

Ukiwa Kigoma, raha kweli kweli. Vivutio vya utalii mpaka mitaani. Pundamilia hawa hawana wasiwasi juu ya maisha yao. Ni rafiki wa watu

No comments: