Tuesday, August 21, 2012

Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi amefariki akiwa hospitalini nje ya nchi yake. Zenawi alichukua uongozi wa nchi yake kutoka kwa Mengistu Haile Mariam miaka 20 iliyopita


No comments: