Mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya ya Kigoma Bw Ramadhani Maneno, akimtunukia cheti mmoja wa wahitimu waliofanya vizuri katika mafunzo ya udereva yaliyoendeshwa na chuo cha VETA. Kulia kwake ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi wa Polisi(ACP) Frasser Kashai. Wiki ya Nenda kwa usalama imehitimishwa leo kimkoa katika viwanja vya Community Centre mjini Kigoma
No comments:
Post a Comment