Sunday, September 30, 2012

Ligi Kuu, Simba Vs Prisons

Mchezaji wa timu ya Simba Mwinyi Kazimoto kushoto akiwania mpira mbelea ya Fred Chudu mchezaji wa timu ya Prison ya Mbeya huku refarii wa mchezo huo Paul Soleji wa Mwanza akiangalia katika mchezo wa ligi kuu unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam,Hivi sasa pira umekwisha Simba imeifunga timu ya Prison magoli 2-1, magoli ya Simba yamefungwa na wachezaji Felix Sunzu goli la kwanza na Mrisho Ngasa aliyefunga goli la pili katika kipindi cha pili.
Mashabiki wa wekundu wa msimbazi.
Mrisho Ngasa(kushoto)akimtoka mchezaji wa Prisons Laurian Mpalile 
Picha kwa hisani ya fullshangweblog

No comments: