Saturday, September 22, 2012

Sehemu ya sura ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji

Kila kukicha, sura ya mji wa Kigoma inazidi kubadilika na kupendeza. Haya ni baadhi ya majengo ya kisasa kabisa yanayopatikana katika mkoa huu

No comments: