Wednesday, October 3, 2012

CCM wilaya ya Kigoma Mjini wafanya mkutano mkuu na kuchagua viongozi

Mwenyekiti(Mstaafu wa CCM) wilaya ya Kigoma Bwana Nashon Bidyanguze, akiwahutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Kigoma. Mkutano huo, ulimchagua Bw Kassim Kasambwe kuwa Mwenyekiti baada ya kuwashinda Mwl Elisha Zilikana na Bw Kitita Magonjwa. Pia Bw Kilumbe Ng'enda alichaguliwa kuwa MNEC.
Mkuu wa wilaya ya Kigoma Bw Ramadhani Maneno(kushoto)akiteta jambo na mbunge wa Kigoma Mjini Mhe. Peter Serukamba

No comments: