Monday, October 15, 2012

Picha zaidi

Wanafamilia wa marehemu kamanda Liberatus Ballow wakiwa na majonzi makubwa sana katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa mpendwa wao Liberatus Ballow.
Maafisa wa Majeshi aina mbalimbali kutoka Tanzania wakionekana katika hafla la kuuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Ballow.
Wananchi mbalimbali kutoka katika Mkoa wa Mwanza na nje ya Mkoa wa Mwanza wakionekana katika tukio la kuuaga mwili wa Kamanda Liberatus Ballow 

Kwa hisani ya kapingaz-mafoto

No comments: