Thursday, October 4, 2012

RUTALE hapa. Chanzo chetu cha maji


Baiskeli hizi hutumiwa naa makumi ya vijana wa Mji wa Kigoma katika biashara ya kuuza maji mitaani
Rutale ni chemuchemi ya maji iliyopo katika kata ya Kitongoni Ujiji katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji. Watu wengi hupenda kutumia maji ya Rutale kwa ajili ya kunywa.

No comments: