Monday, October 15, 2012

TASWIRA:MAMIA WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA KAMANDA LIBERATUS BALLOW LEO KATIKA UWANJA WA NYAMAGANA JIJINI MWANZA LEO


Afande George Msangi akiongoza ratiba za kumuaga aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Ballow aliyeuawa usiku wa kuamkia jumamosi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi katika eneo la Kitangiri karibu na Hotel ya Tai Five

Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Polisi wakionekana wakiwa na huzuni kubwa

No comments: