Friday, November 16, 2012

Askofu kilaini akana kuongea na chombo chochote cha habari

Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. 

Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya kuuponda uongozi huo. Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni yake. 

Kama ni waugwana natumaini watasahihisha waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo.

Askofu Method Kilaini
Bukoba Catholic Diocese 
e-mail: mkilaini@gmail.com 
Web: http://bukobadiocese.catholicweb.com 
http://card-rugambwa.catholicweb.com

No comments: