Tuesday, November 6, 2012

Barua ya Nasrullah kwa kijana wa kilebanoon

Jad Hashishu kijana wa kilebanon mwenye miaka ninane alimwandikia katibu mkuu wa Hizbollah barua ifuatayo:”nataka kulizawadia jeshi la Hizbollah pesa zangu ili lipate kununua silaha za kupambana na Israel.na nikiwa mkubwa nataka kuwa mwanajeshi wa Hizbollah ili nipambane na Marekani na Israel.”

Katibu mkuu wa Hizbollah Sayyid Hasan Nasrullah alimjibu kijana huyo kama ifuatavyo: 

Bismihi Taalah Kijana mpenzi:

“tunashukuru kwa msaada wako namapenzi uloyaonyesha kwa jeshi la Hizbollah na wapigania haki wote na ninamuomba Allah akupe taufiki siku moja uwemwanajeshi wahaki utakayepambana na batili Inshaallah, 

Akhsante sana 

Sayyed Hassan Nasrullah

No comments: