Saturday, November 17, 2012

Israel yashambulia makao makuu ya Hamas

Ndege za Israel zimeshambulia majengo ya serikali ya chama cha Hamas huko Gaza ikiwemo ofisi ya waziri mkuu baada ya baraza la mawaziri la Israel kuidhinisha kuitwa kwa wanajeshi wa akiba 75,000 kuvamia Gaza.

No comments: