Wednesday, November 21, 2012

Vodacom Yaichangia Hospitali Ya CCBRT Sh. Bilioni Nane

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akionesha cheki ya Shilingi bilioni Nane iliyotolewa na Kampuni ya VODACOM kwa ajili ya ujenzi wa hospitali maalumu itakayo shughulika kutibu wanawake walioathirika na Ugonjwa wa Fistula pamoja na ulemavu mwingine.

Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe.Janet Mbene,Mkurugenzi Mtendaji VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza,Ofisa mtendaji Mkuu Hospitali ya CCBRT Bwana Telemans  Erwin na kulia ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik

                      Picha na Freddy Maro

No comments: