Sunday, December 2, 2012

Hata mbuyu ulianza kama mchicha

Mabinti hawa walikutwa na kamera yetu wakifanya biashara ya Karanga. Polepole pole ndo mwendo, Mungu akipenda wanaweza kuja kuwa mamilionea. Kwani hata mbuyu ulianza kuwa kama mchicha
Nitakuwa naendesha Semi trailer tu siku moja

No comments: