Wednesday, December 26, 2012

Jenerali wa Syria ajiunga na waasi

Kamanda na mkuu wa Polisi wa jeshi nchini Syria Jenerali Abdel-Aziz Jassem al-Shallal amejiunga na vikosi vya waasi. Machafuko nchini Syria yaliyoanza Machi 2011 yamegharimu maisha ya malfu ya watu wengi wao wakiwa Askari na maafisa wa vikosi vya usalama

No comments: