Monday, December 3, 2012

Jengo la Baytil Ajaib “Makumbusho Kuu” labomoka

Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwa haamini alichokiona hapo Jumba la Maajabu, Forodhani
Baiytul Ajaib “House of Wonders” lilivyoathirika 

Gari likiwa limeangukiwa na kifusi cha sehemu ya jengo lililoporomoka
Sehemu ya jengo la makumbusho liliporomoka kama linavyoonekana
Sehemu ya jengo la makumbusho liliporomoka kama linavyoonekana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (mwenye fulana), kuhusiana na kubomoka kwa jengo la makumbusho kuu ya Zanzibar (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments: