Tuesday, December 11, 2012

Mafunzo ya ukakamavu kwa watumishi wa Umma yahitimishwa mkoani Kigoma

<
Wadada nao hawakubaki nyuma, kama aanavyoonekana dada huyu ambae ni Afisa Ardhi kutoka katika ofisi ya RAS-Kigoma
Watumishi kutoka ofisi mbalimbali za serikali katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji wakionesha umahiri wao mara baada ya kumaliza mafunzo ya Ukakamavu mkoani hapa.

No comments: