Thursday, December 27, 2012

Mtwara waandamana kupinga kusafirishwa kwa Gesi

Wananchi wa Mtwara leo wameandamana katika mitaa mbalimbali ya Mji huo kupinga uamuzi wa serikali kusafirisha gesi hiyo kutoka Mtwara Mikindani hadi Dar Es Salaam. Kabla hapo, mapema mwa mwaka huu, Chama cha Wananchi CUF pamoja na Chama cha Wafanyabishara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) mkoani Mtwara vilipinga uamuzi huo na CUF kutishia kuitisha maandamano kupinga uamuzi huo

Picha kwa hisani ya Sizinga wa JF

No comments: