Wednesday, January 16, 2013

Hawa nao wangelikwenda “India”, Laiti tu wangelikuwa na uwezo! Hawa nao wangelikwenda India laiti tu wangelikuwana uwezo.

Wagonjwa wakiwa wamelala sakafuni katika zahanati ya kisiwani Mandagerenge katika mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa, inawalazimu kufanya hivyo kutokana na ufinye wa nafasi wakisubiri kwa zaidi ya masaa kumi kupata huduma katika kituo hicho cha afya ambacho kina mhudumu wa afya mmoja tu! (picha: Mussa Mwangoka/MWANANCHI)

No comments: