Sunday, January 13, 2013

Sheikh Abdallah Masoud Jembe azikwa Bagamoyo leo. Viongozi wahudhuria

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo jioni alijumuika na mamia ya wakazi wa mji wa Bagamoyo katika mazishi ya Alhaji Sheikh Abdallah Masoud Jembe, mmoja wa masheikh maarufu na mzee wa mji wa Bagamoyo. Pichani Rais akiweka udongo katika kaburi wakati wa mazishi hayo.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akitia udogo wakati wa mazishi hayo
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni miongoni mwa waliohudhuria mazishi hayo, akisalimiana na Rais Kikwete.
Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi hayo

Picha na Freddy Maro, Ikulu

No comments: