Sunday, February 24, 2013

AJALI mbaya Iringa

Ajali hii imehusisha magari mawili,Toyota Rav 4 na Cresta jirani na Maktaba ya mkoa,mjini Iringa, hakuna aliyefariki katika ajali hii. Picha na Mjengwa Blog

No comments: