Sunday, February 3, 2013

JK awasili Kigoma

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwandishi wa Radio Uhuru FM mara tu alipotua uwanja wa ndege wa mjini Kigoma tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele leo Jumapili Januari 3, 2013 mkoani hapa.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Dkt Asha-Rose Migiro Ikulu Ndogo ya mjini hapa
Wasanii Dokii na Abdul Misambano nao pia wapo
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Kigoma mjini, Mhe Peter Serukamba wakati wa mapokezi hayo

 Read more: http://audifacejackson.blogspot.com

No comments: