Wednesday, March 13, 2013

Papa mpya apatikana. Ni Jorge Mario Bergoglio wa Argentina.

Jorge Mario Bergoglio, Askofu mkuu wa of Buenos Aires, Argentina amechaguliwa kuwa Papa mpya wa Kanisa Katoliki na atajulikana kama Pope Francis I. 

Papa Francis I, mwenye umri wa miaka 76, amemrithi Benedict XVI, aliyejiuzulu mwezi Februari akiwa na umri wa miaka 85, kwa kwa madai kuwa hakuwa na nguvu za kutosha kuongoza kanisa baada ya kudhoofika kutokana na uzee na ugonjwa.

No comments: