Wednesday, March 6, 2013

Polisi waonja adha ya mvua jijini dar

Wasamaria wakisaidia kulinasua gari la polisi lenye namba PT 1448, Dar es Salaam jana, lililotumbukia katika mtaro uliofunikwa kwa maji ya mvua zilizoendelea kunyesha jijini, kamaabara ya Msimbazi eneo la KAMATA. Elimu ya Ulinzi Shirikishi Polisi Jamii imesaidia kuleta mahusiano mazuri kati ya jeshi hilo na wananchi. 

Picha na Prona Mumwi

No comments: