Saturday, March 9, 2013

Uhuru Kenyatta, Rais Mteule wa Kenya

Bwana Kenyata mtotto wa Rais wa kwanza wa Kenya(Jomo Kenyatta)amepata ushindi wa 50%+4100 sawana kura 6,173,433 na kumbwaga mpinzani wake Waziri Mkuu Bwana Raila Odinga aliyepata kura 5,340,546.

No comments: