Thursday, April 18, 2013

Usafiri kipindi cha mvua mkoani KigomaBasi la saratoga linalofanya safari ya kigoma to bukoba likiwa limenasa ktk tope kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Hapa ni kilomita chache kutoka kasulu mjini

No comments: