
umati mkubwa wa wananchi waliofika kusikiliza mkutano wa Chadema Leo Iringa mjini
katibu
mkuu wa Chadema Dkt Slaa (kushoto) akiwa na mbunge wa jimbo la Ubungo
Jonh Mnyika katika mkutano wa wabunge wa chadema waliofukuzwa bungeni
leo katika uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa
Picha kwa hisani ya mjengwa blog
No comments:
Post a Comment