Monday, July 8, 2013

Hatari: Adventure lanusurika

Basi la Adventure linalofanya safari kati ya Kigoma na Kahama, juzi lilinusurika kupata ajali katikati ya pori la Kasulu na Kibondo. Hata hivyo dereva alimudu na abiria wote walisalimika

No comments: