IDDY ALLUTE

HABARI, PICHA NA MATANGAZO.....(MAWASILIANO 0766 489048)


Thursday, August 1, 2013

Utamaduni....!!!

Chungu hiki kilikutwa katikati ya barabara eneo la Maweni katika manispaa ya Kigoma/Ujiji ndani yake kikiwa na aina mbalimbali za mimea. Jamii nyingi zimekuwa zimekuwa zikitumia njia hii kama tiba ya asili ingawa kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ni nadra sana kukuta vitu kama hivi
Posted by Unknown at 10:10 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

SIKILIZA REDIO ZA BONGO HAPA

FREE ONLINE STREAMING RADIO
Listen to Bongo Radio
Bongo Radio
Listen to Radio Mbao - Columbus, TX
Radio Mbao
Listen to Radio One 89.5 - FM 89.5 - Dar es Salaam
Radio One 89.5

Grab widget | Radio stations
Free Live Radio Stations
FREE LIVE RADIO ONLINE
Listen to Kaya FM - FM 95.9 - Johannesburg
Kaya FM
Listen to SoukousRadio - Tampa, FL
SoukousRadio
Listen to Sud FM - FM 98.5 - Dakar
Sud FM

Grab radio widget | More radio
Free Live Radio Stations
-->

MWANAHARAKATI KUTOKA KIGOMA

Unknown
View my complete profile

Popular Posts

  • Taswira: Shule ya msingi Kigoma, mjini Kigoma
  • Ufundi wa kutengeneza mafuta ya mawese
    Matunda"ngazi" yakichemshwa ili kuyalainisha Baada ya ngazi kuiva, hapa shughuli ya kukamua inafanyika Hapa mawese yana...
  • Upambaji wa harusi zetu Kigoma
    Maandalizi ya sherehe ya harusi katika ukumbi wa Kibo Peak mjini Kigoma

HABARI ZILIZO PITA

TAFUTA

WATAZAMAJI WA BLOG HII MPAKA SASA

Blog mbalimbali

  • MICHUZI
    UA YAANZISHA MITAALA YA UALIMU WA AMALI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA - Na Farida Mangube, Morogoro CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanzisha mitaala mipya ya Ualimu wa Amali kwa ajili ya walimu wa shule za sekonda...
    5 hours ago
  • BBCSwahili.com | Mwanzo
    Dira Ya Dunia - Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
    8 hours ago
  • Sports Lady
    STSRS,ZAMBIA ZAGAWANA POINTI AFCON - TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo imelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataif...
    1 year ago
  • Wavuti - Habari
    -
  • Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
    -
Iddyalute 2012. Simple theme. Powered by Blogger.