Sunday, August 19, 2012

JK Awasili Kutokea Msumbiji


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema baada ya kuwasili  usiku huu Agosti 19, 2012 kutoka Maputo, Msumbiji alikohudhuria kikao cha viongozi wa Jumuiya Ya Maendeleo Kusini Kwa Afrika (SADC) uliofunguliwa tarehe Agosti 17,  2021 na kumalizika   jana jioni  Agosti  18 2012. Katika kikao cha Jana Tanzania  imechukua uenyekiti wa Kamati ya Siasa, Ulinzi na Usalama  kutoka Afrika ya Kusini ambapo uenyekiti wa SADC  umechukuliwa na Msumbiji kutoka Angola. Nafasi hizi ni za mwaka mmoja mmoja

No comments: