Sunday, August 19, 2012

Wanakijiji wa kijiji cha Lupiro wilayani Gairo wakimpokea Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Dk Wilbroad Slaa katika muendelezo wa ziara zake katika kuimarisha chama chake, maarufu kwa jina la "Operesheni Sangaara"


No comments: