Tuesday, September 25, 2012

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya azindua ujenzi wa Shule ya watoto ALPHA kijijini Msimba

Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali(mstf)Issa Machibya(aliyenyoosha mkono)katika picha ya pamoja na watoto wanaosoma katika shule ya watoto ya ALPHA inayojengwa nje kidogo ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji.

No comments: