Wednesday, September 26, 2012

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Meja Jenerali (mstf) Kamazima


JUU: Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa mjane wa marehemu Anatoli Kamazima(Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa TAKURU"sasa TAKUKURU.)Kushoto kwa Mjane wa marehemu ni Bi Lilian Mashaka ambaye ni Naibu Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU. Marehemu amefariki kutokana na mshtuko wa moyo usiku wa kuamkia leo tarehe 26-09-2012
CHINI: Rais akibadilishana mawazo na baadhi ya waombolezaji 

Picha na IKULU

No comments: