Thursday, September 27, 2012

Zidane Vs Materazzi

Sanamu inayomuonyesha Zinedine Zidane akimpiga kichwa Materazzi, Imetengenezwa na kuwekwa katika jiji la Paris.Tukio hilo lilitokea wakati wa kombe la dunia 2006, pale Materazzi alipopigwa kichwa na Zidane kwa kitendo cha Materazzi Kumtukana Zidane.

Chanzo: www.kandanda.co.tz 

No comments: